Zoezi la kuimarisha tumbo

Joined
Mar 30, 2020
Posts
68
Reaction score
106
Sit ups - zoezi hili huimarisha tumbo na kuondoa kitambi cha chini, aidha huongeza nguvu za mwili na kumfanya mtu awe kama roboti kwa uimara wa mwili.
 

Attachments

  • SGN_10_31_2026_1793456214857.png
    910.7 KB · Views: 2
Kama ndio unaanza anza na kumi, bada ya wiki. Nenda 20 kila wiki ongeza hadi utapokuwa nauwezo wa kupiga nyingi bila kuchoka hapo utakua umeimlruvu.
Kwa kuanza, ilo week la kwanza, kwa siku ngapi na mara ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…