nabiidaniel
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,937
- 2,678
Kuna shirika kubwa la kimataifa la nzige lilikuwa Tabora miaka ya 90. Wanaita Red locust for East and central Africa, sijui nalo liliishia wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamkosi majungu rubani mlikuwa mnampeleka mpela mpela! Hela kiduchu eti mnamlaza kwenye hema.Nao wanajisikia
Ndio zaoKwani ilikuwaje hata hilo likatokea? Isijekuwa anasema ndege haiwezi kuruka umbali unaotakiwa kwa mafuta iliyonayo ila wale wa si hasi wanamtaka aruke hivyo hivyo.