Hamkosi majungu rubani mlikuwa mnampeleka mpela mpela! Hela kiduchu eti mnamlaza kwenye hema.
Eti Rubani Akale kwa mama ntilie akaharisha. Tiba ajitegemee! Mwee!!
Jamani shida zenu mnatangazia wakenya??! Kisa Mmekula cha juu Mlishindwa kujua wale ni wakenya. Maisha ya juu!
Anafuatilia nini huyo muongo tu anajua alicho kifanya. Wabongo wakiona ngozi nyeusi tu wanatathmini cha juu!!!acheni hizo.
Wabongo ukifanya yao wakupe chako kwanza mbele!
Kwani ilikuwaje hata hilo likatokea? Isijekuwa anasema ndege haiwezi kuruka umbali unaotakiwa kwa mafuta iliyonayo ila wale wa si hasi wanamtaka aruke hivyo hivyo.