Zoezi la kuongeza shape kwa njia ya upasuaji huwa linafanyikaje?

Zoezi la kuongeza shape kwa njia ya upasuaji huwa linafanyikaje?

DIRIMULAINA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2018
Posts
921
Reaction score
1,720
Salam sio lazima!

Ndugu wanabodi,

Mimi naomba kufahamishwa ni kwa namna gani nyama za kujazia eneo husika zinavyopatikana, yaani zinatolewa wapi kuja kuboresha uumbaji wa eneo la makalio, au yanaumuliwa kama maandazi yaliyowekewa hamira na kuongezeka size kwa kutumia hamira maalum,nisaidieni kujua wataalam.

Karibuni mliofanikiwa kwenda Uturuki, China, Mloganzila na kwingineko Duniani.
 
Wanatoa mafuta kutoka sehemu zingine za mwili kama vile tumboni wanayaweka makalioni.

Kama una mpango wa kuongeza piga chini,
Sisi wengine tuna flat screen lakini tuna wachumba na wanatupenda sana🤸
Tako sio kwa ajili ya mchumba wala mume, ni chanzo cha mapato ukiamua..... mume haangalii hilo.
 
Back
Top Bottom