Zoezi la Kupitisha Rasimu ya Kanuni za Bunge linaendelea vizuri

Watu gani wenye dhamira? Hao wahuni(reffer mtikila) walioko hapi dodoma wanaoongea maneno ya kanga na kutaka uenyekiti kwa vigezo vya jinsia ndo watatuletea katiba? Haupo serious wewe na genge lenu hapo lumumba.
Hujielewi nakuomba jichagulie tusi unaloona linakufaa.
 
Watu wanaokufanya uishi na ule leo unawaona watoto siku wakinuna sijui utakula nini.

Ngoja nianza kucheka cheka kabla hawajanuna, au unasemaje?

Swali langu lilikuwa kla msingi sema hukulitilia maanani. Kuna mengi sana mazuri katika katiba iliyopita pamoja na sheria zinazosimamia katiba hii. Tuna tatizo kubwa sana watanzania, tatizo la kutokutekeleza matakwa ya katiba na sheria. Hivyo hata tukileta katiba nzuri vipi, haiwezi kutusaidia kitu wala kusaidia upatikanaji wa haki za msingi za raia.

Wako wapi watuhumiwa wa madawa ya kulevya aliyesema raisi anawajua? Wako wapi wezi wa EPA, the green, IPTL, Dowarn, nk? Wako wapi wezi wa wanyama hai? Je sheria yetu na katiba yetu ya sasa haisemi chochote juu ya makosa haya, ya uhaini na uwajibikaji?

Zoezi linaloendelea ni muhimu, lakini kwangu mimi zoezi muhimu zaidi ni kuona watu wanasimama katika misingi ya katiba kwa sheria za nchi kufanya kazi kama msumeno kwa kukata bila kuangalia ukubwa wa mti.
 
ule u taratibu wa ccm Ku dominate mjadiliano bado unaendelea ua Aje wakuu
 
kashasema yeye ni mnyarwanda mbona unamlazimisha kuwa BAVICHA mkuu
Ni kweli mkuu huyu mdau amekaa kitoto kabisa analeta mambo ya kibavicha humu wakati watu wako na dhamira ya dhati kupata katiba mpya.
 

Aaq






Q
Qa
 
Hakika Bunge letu limebadili kabisa hisia mbaya za wananchi juu ya bunge hilo hasa wanapoonesha na kuweka mbele maslahi ya taifa
 
Kwa siku ya jana, kuna ishara zimeanza kujitokeza kuwa baadhi ya vyama vinataka kuteka mijadala inayoendelea bungeni kwa maslahi yao ya kisiasa. CHADEMA baada ya kuona kuwa hawawezi tena kusimama peke yao, wanaanza kuwarubuni CUF na NCCR ili waunge mkono hoja zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…