Zoezi la kuruka kamba na faida zake

Joined
Mar 30, 2020
Posts
68
Reaction score
106
Zoezi la kuruka kamba " rope skeeping" huimarisha mwili na kuunya uwe na nguvu nyingi zaidi, hupunguza mafuta mabaya mwilini na kumfanya mtu awe mwembamba na mwenye muonekano mzuri, huongeza pumzi nakumfanya mtu awe nauwezo wa kufanya kazi kwa muda mrefu bila kuchoka, huimarisha nguvu za kiume nakuongeza hamu ya tendo la ndoa.
 

Attachments

  • SGN_10_31_2026_1793457200611.png
    1 MB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…