Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Wadau nawasabahi,
Tunaziomba mamlaka zote zinazohusika na zoezi la kuwaondoa machinga kuwa zoezi hili liwe la kudumu kwani mazoezi kama haya huwa ya nguvu ya soda kutokana na kufanyika kisiasa zaidi unaweza kukuta 2030 wanaruhusiwa kufanya biashara zao hata ndani ya viwanja vya ndege.
Muhimu machinga wapatiwe maeneo mbadala yenye huduma zote muhimu.