Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hakuna mwenye ubavu huo....
Wakati ndio wanazidi kusambaa kama Kansa...
Ngoja tusubiri, japo Makalla alisema tarehe 13 Septemba
Mnataka wafukuzwe ili mpate mtaji wa kisiasa chagademaKwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla , kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao .
Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka, na sasa naelekea Kariakoo kujionea hali halisi .
Popote ulipo ndani ya Dar es Salaam tuletee taarifa ya wamachinga kuhusiana na zoezi hili muhimu
Ngoja tusubiri , japo Makalla alisema tarehe 13 septemba
Asante kwa TaarifaHuku Mbezi mwisho wanaendlea na biashara kawaida.
Mazingira rafiki yapi...??? Maneno hayo ndio kichaka cha mwendazake na genge lake la wahuni walitumia kuhadaa wananchi//...Wawatengee mazingira rafiki sio kuwatimua km mbwa mjini kugumu jamani
πππMazingira rafiki yapi...??? Maneno hayo ndio kichaka cha mwendazake na genge lake la wahuni walitumia kuhadaa wananchi//...
Huwezi fanya bishara barabarani, CBD ambako kunatakiwa muda wote kuwe safi halafu uanaangalia watu wnakaanga mihogo na vitumbua....Wakati kuna sheria za Upangaji miji zipo.. kwanini hazisimamiwi..?? mkiambiwa ukweli mnakimbilia watengenezewe mazingira.. Stupid
Sio yeye tu mwenye matamko butu, we fuatilia kwa makini, utagundua matamko pekee yaliyotiliwa mkazo ni teuzi na tozo, na nadhani ni ndugu, na binamu yao tour.Kwenye nguvu ya kiuongozi makonda na ujinga wake amemwacha makalla mbali sana, huyu makala ashatoa matamko 1000 yote chali hakuna hata moja lililofanikiwa
Aiseeee !!!Sio yeye tu mwenye matamko butu, we fuatilia kwa makini, utagundua matamko pekee yaliyotiliwa mkazo ni teuzi na tozo, na nadhani ni ndugu, na binamu yao tour.
Hao jamaa ni wasanii sanaMakala, Majaliwa, hawa weka alama wanadharauriwa sana na watendaji lakini hata wananchi wameanza kuwadharau viongozi gani matamko yao hayatekelezeki
INGESAIDIA KAMA UNGETOA MAONI YAKO KWANZA KUWA ZOEZI HILO NI ZURI AU HALIFAI ILI TUWEZE KU COMMET VIZURI TUONE MWELEKEO WAKOKwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla , kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao .
Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka, na sasa naelekea Kariakoo kujionea hali halisi .
Popote ulipo ndani ya Dar es Salaam tuletee taarifa ya wamachinga kuhusiana na zoezi hili muhimu