Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwaondoa hawawawezi Ng'o labda kama wako tayari kumwaga damu! Wachutame tu na aibu zao kwa kushindwa kumshauri yule kichaa wao Mwendazake!Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla , kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao .
Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka, na sasa naelekea Kariakoo kujionea hali halisi .
Popote ulipo ndani ya Dar es Salaam tuletee taarifa ya wamachinga kuhusiana na zoezi hili muhimu
Kile kibaraza chako siku ukitaka kupaka rangi ulipie kodi asee..!Mazingira rafiki yapi...??? Maneno hayo ndio kichaka cha mwendazake na genge lake la wahuni walitumia kuhadaa wananchi//...
Huwezi fanya bishara barabarani, CBD ambako kunatakiwa muda wote kuwe safi halafu uanaangalia watu wnakaanga mihogo na vitumbua....Wakati kuna sheria za Upangaji miji zipo.. kwanini hazisimamiwi..?? mkiambiwa ukweli mnakimbilia watengenezewe mazingira.. Stupid
Nipo Kariakoo hapa Gerezani mi mwenyewe nilisahau ndo umenikumbusha hapa baada ya kuona uzi wako.Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla , kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao .
Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka, na sasa naelekea Kariakoo kujionea hali halisi .
Popote ulipo ndani ya Dar es Salaam tuletee taarifa ya wamachinga kuhusiana na zoezi hili muhimu
Mna ajira za kuwapa?Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , Amos Makalla , kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao .
Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka, na sasa naelekea Kariakoo kujionea hali halisi .
Popote ulipo ndani ya Dar es Salaam tuletee taarifa ya wamachinga kuhusiana na zoezi hili muhimu
Sasa mazingira ya kuchomwa jua na kupigwa vumbi masaa yote bila sehemu za kwenda hata haja ndio mazingira rafiki?Wawatengee mazingira rafiki sio kuwatimua km mbwa mjini kugumu jamani
Hakuna wa kuwatengea, kwani wametoka wapi?Wawatengee mazingira rafiki sio kuwatimua km mbwa mjini kugumu jamani
Very poor reasoningHakuna wa kuwatengea, kwani wametoka wapi?
Hawaoni wafanyabiashara wengine wanavyojitengea wenyewe frame za maduka?
No spoon feeding!
Hakuna wa kuwatengea, kwani wametoka wapi?
Hawaoni wafanyabiashara wengine wanavyojitengea wenyewe frame za maduka?
No spoon feeding!
kupangwa si ndio kuondolewa njiani au ?Mna ajira za kuwapa?
Rais Samia amesema wamachinga wapangwe vizuri ili wafanye biashara kwa mujibu wa sheria na taratibu!
Wanepewa maeneo mapya ya kazi!??Kwa Mujibu wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla kuanzia leo Septemba 13 wamachinga wote wanaofanya biashara zao kwenye njia za watembea kwa miguu wanatakiwa kuwa wameondoka wao wenyewe pamoja na mabanda yao.
Nimepita Mbagala sijaona dalili yoyote ya wamachinga kuondoka, na sasa naelekea Kariakoo kujionea hali halisi.
Popote ulipo ndani ya Dar es Salaam tuletee taarifa ya wamachinga kuhusiana na zoezi hili muhimu
On the cintrary only the oractucally intellugent will undeestand this.Very poor reasoning
Makalla hawezi tumbuliwaKuna harufu ya mtu kutumbuliwa na kupoteza ukuu wa Mkoa. Makalla amemsahau yule DC wa Morogoro?