Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,662 Reaction score 8,023 Apr 20, 2026 #1 Wakati wa mazoezi ya sherehe ya kuwasha mwenge wa Siku ya Uhuru, Rais wa Argentina akiimba kwenye onyesho la zoezi hilo. Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuwashwa na Rais huyo wa Argentina siku ya jumanne usiku Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Wakati wa mazoezi ya sherehe ya kuwasha mwenge wa Siku ya Uhuru, Rais wa Argentina akiimba kwenye onyesho la zoezi hilo. Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuwashwa na Rais huyo wa Argentina siku ya jumanne usiku Your browser is not able to display this video. Your browser is not able to display this video.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Apr 20, 2026 #2 Kwani Vita Imeisha Iran Ingepenya Kwenye Kusanyiko Ikakinukisha Chap
Echolima1 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 9,662 Reaction score 8,023 Apr 20, 2026 Thread starter #3 Kennedy said: Kwani Vita Imeisha Iran Ingepenya Kwenye Kusanyiko Ikakinukisha Chap Click to expand... Waulize wameua kiongozi gani wa Israel? Harafu waulize wao viongozi wao wakiwemo wa kijeshi zaidi ya 300 wameuliwa kama kumbikumbi walikuwa wapi kuwalinda?
Kennedy said: Kwani Vita Imeisha Iran Ingepenya Kwenye Kusanyiko Ikakinukisha Chap Click to expand... Waulize wameua kiongozi gani wa Israel? Harafu waulize wao viongozi wao wakiwemo wa kijeshi zaidi ya 300 wameuliwa kama kumbikumbi walikuwa wapi kuwalinda?