PreGE2025 Zoezi la uchukuaji fomu limedhihirisha pasipo shaka kuwa CCM ni chama kinachopendwa, chenye mvuto na itikadi ya kweli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
473
Reaction score
1,682
Leo mitandao yote imezima, CCM imezima takataka zote za uhaini, za no reform no election, hakuna cha Heche wala mamake Heche leo, leo ni mwanzo mwisho CCM.

Hivi kwa mziki huu wa watu wenye majina makubwa na mvuto kuchukua fomu kuomba ridhaa ya chama unawezaje kuzuia uchaguzi wewe?

CCM ni chama dude, dume la mbegu, mbegu yenyewe ni ile ya Mapacha kabisa.

Hakuna cha Simba wala Yanga leo, habari ni moya tu, CCM, CCM, CCM, kudadeki
 
Kinapendwa ndiyo na MAJIZI na wadudu wachafu, CHAWA!
 
Back
Top Bottom