Zoezi la ujazaji fomu Kwa ajili ya mafao

Zoezi la ujazaji fomu Kwa ajili ya mafao

sitaki hela

Member
Joined
Oct 10, 2022
Posts
93
Reaction score
117
Awali ya yote wote niwapongeze katika ujenzi wa Taifa, Kuna mdau mmoja ameniuliza kuhusu zoezi Zima mafao Kwa watumishi waliogushi vyeti, Kwani zoezi Zima lilianza tarehe1 mwezi huu, Sasa hwajaeleza mwisho ni lini?

Humu ndani kama kunauelewa Kwan huyo Muhanga yupo mbali bado anashghulikia nauli ya kwenda halmashaur aliyokuwa anafanyia huko mtwara.
 
Back
Top Bottom