Mtokambali
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 222
- 99
Nimeshuhudia baadhi ya maeneo nchini kuna zoezi la kimya kimya linalofanywa na watu wanaojitambulisha kwamba wametokea Serikalini kwa maelezo kwamba ni usajili wa makazi.
Wanakufuata wakiwa na mwenyekiti wa kijiji chako au kiongozi mwingine wa kijamii kutaka uwatajie namba ya LUKU na namba ya kitambulisho cha Taifa. Je kuna yeyote ana uelewa wa hili zoezi. Je ni salama, na je lina madhumuni gani? Wengi wanasita kwa vile hawajasikia tangazo rasmi.