Mtokambali
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 222
- 99
Ndio, ni zoezi rasmi la kiserikal. Kinachofanyika ni ukusanyaji wa kodi ya jengo ambalo awali mpaka hivi sasa tulikuwa tunalipia Tsh 1500/=kila mwezi ambayo kwa mwaka ni sawa na Tsh 18,000/=.kwa njia ya luku(makato ya kila mwezi ukinunua umeme) mfumo huo unatolewa ili kulipia kwa control namba kias hkohko kwa mwaka. bila kukatwa kwenye umeme tena.Nimeshuhudia baadhi ya maeneo nchini kuna zoezi la kimya kimya linalofanywa na watu wanaojitambulisha kwamba wametokea Serikalini kwa maelezo kwamba ni usajili wa makazi.
Wanakufuata wakiwa na mwenyekiti wa kijiji chako au kiongozi mwingine wa kijamii kutaka uwatajie namba ya LUKU na namba ya kitambulisho cha Taifa. Je kuna yeyote ana uelewa wa hili zoezi. Je ni salama, na je lina madhumuni gani? Wengi wanasita kwa vile hawajasikia tangazo rasmi.
Watoe tangazo rasmi, itasaidia sana. Dunia imebadilika, mtu mwenye taarifa zako za kina anaweza kukufanyia uhalifu wa kimtandao apendavyo.Hilo ni zoezi la usajili wa majengo
Luku na Nida! Mbona havina uhusiano, hao ni wale wa Mdude.Nimeshuhudia baadhi ya maeneo nchini kuna zoezi la kimya kimya linalofanywa na watu wanaojitambulisha kwamba wametokea Serikalini kwa maelezo kwamba ni usajili wa makazi.
Wanakufuata wakiwa na mwenyekiti wa kijiji chako au kiongozi mwingine wa kijamii kutaka uwatajie namba ya LUKU na namba ya kitambulisho cha Taifa. Je kuna yeyote ana uelewa wa hili zoezi. Je ni salama, na je lina madhumuni gani? Wengi wanasita kwa vile hawajasikia tangazo rasmi.
Luku! Inahusika vipi na Nida yangu mimi mpangaji ambaye kesho nitahama.Hili zoezi linaendeshwa na serikali kupitia ofisi za kata au vijiji kwa kushirikiana na taasisi kama NIDA au RITA. Lengo lake huwa ni kupanga huduma za kijamii, kutambua makazi, na kuimarisha usalama.
Bahati mbaya jamaa hawakutoa tangazo rasmi kwa wananchi isipokuwa mchakato ulianzia halmashauri zote kwenda kwa watendaji
Hao wanaoandikisha wapigeni!Sina uhakika Sana ila uku mtaani kwetu pia linafanyika zoezi kama ilo ila linatofautiana kidogo wenyewe wanakuwepo mahali halafu kila mjumbe anakusanya raia wake wakiwa na kitambulisho cha NIDA au mpiga Kura wanajaza form then wanapiga picha wanapewa Kadi za CCM.
Ina tofauti gani na sensa ?Hili zoezi linaendeshwa na serikali kupitia ofisi za kata au vijiji kwa kushirikiana na taasisi kama NIDA au RITA. Lengo lake huwa ni kupanga huduma za kijamii, kutambua makazi, na kuimarisha usalama.
Bahati mbaya jamaa hawakutoa tangazo rasmi kwa wananchi isipokuwa mchakato ulianzia halmashauri zote kwenda kwa watendaji
Wanaforce saana ..hasa hizi kadi za sisiem kuna hich kimama kikada sura mfano wa nggedere..hakichoki kunikumbusha ..mimi ninehis ni mambo mengineNimeshuhudia baadhi ya maeneo nchini kuna zoezi la kimya kimya linalofanywa na watu wanaojitambulisha kwamba wametokea Serikalini kwa maelezo kwamba ni usajili wa makazi.