Zoezi la utambuzi wa mifugo kielektroniki mwisho Oktoba 31, 2022

Usajili ni bure au ni bei gani kwa ng'ombe mmoja? Na wanasajili wapi? Au faini ndiyo jambo lililowekwa mbele kuliko elimu ya jambo lenyewe!!

Lakini pia ufugaji upo kwenye mazingira magumu sana kuanzia maji, dawa na hata malisho si jambo dogo, hao wanaotaka tozo tungependa kujua wanasaidia lipi katika haya.
 
Labda kama wamefanya hivyo makusudi ili kutengeneza fursa mpya.

Waongeze idadi ya hereni kwanza maana zilizopo hazitoshi mahitaji kwa maeneo mengi.
 
Usajili ni bure au ni bei gani kwa ng'ombe mmoja? Na wanasajili wapi? Au faini ndiyo jambo lililowekwa mbele kuliko elimu ya jambo lenyewe!!

Lakini pia ufugaji upo kwenye mazingira magumu sana kuanzia maji, dawa na hata malisho si jambo dogo, hao wanaotaka tozo tungependa kujua wanasaidia lipi katika haya.
Sio bure kuna kulipia hayo mahereni..hatari tupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hawa wataalam wenyewe wa mifugo wako wapi, hizi hereni tunazipata wapi,naona kila dalili ya kuja kuviziana mbeleni...muda ukishaisha ndio utawaona hao wanaojiita mabwana mifugo mitaani kudai fine....nyambaf
 
Back
Top Bottom