Semenya
JF-Expert Member
- Sep 5, 2009
- 572
- 56
kaka hapo umemaliza kila kitu, kisheria kama wakija na ushaidi ule basi zombe hafungwi, labda ahukumiwe na vijiwe au vyombo vya habari kama mwanzoni.me nashangaa eti kesi ya mauwaji anategemea ushaidi wa mazingira, wakati wanajua fika kesi ya mauwaji ni a prove beyond reasonable doubt..100%in short hata wakate rufaa mahakama ya dunia kwa ushahidi ule zombe hafungwi wala hatatiwa hatiani.toka lini ushahidi wa kimazingiza katika kesi ya mauaji unamtia mtu hatiani?Zombe ana haki ya kujigamba kuwa serikali inapoteza muda maana anajua ni upuuzi mtupu