Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Utaleta mrejesho hapa hapa. Hela ya kujitibu unayo lakini? Inabidi niwe muungwana kidogo katika hili
Hili jina si halisi. Halionyeshi uwepo wa koo hii unapotokea kijana. Piga picha Rita birth certificate yako itume pm acha majigambo.
Kwa hiyo unantisha. We hushangai una jina ambao linaonyesha huna hata cheti cha fom Foo wakati unabishana na kiingereza au unataka niroge ukoo mzimaPambogo tumejaa Mbeya hadi mitaa na shule zipo kwa jina letu.
Mchawi mwenye nguvu zote anataka cheti cha RITA 🤣 🤣 mbona mitaani mnasemaga mmeroga watu wasio hata na hivyo vyeti kabisa?
Kuamini story za kishirikina inabidi uwe zwazwa as well.
Kwa hiyo unantisha. We hushangai una jina ambao linaonyesha huna hata cheti cha fom Foo wakati unabishana na kiingereza au unataka niroge ukoo mzima
Wewe ni msambaa?Lete hela nikupe mbinu ya namna ya kuwapiga watu zongo. Huku niliko Kijiji kizima wananiogopa! Kisa tu ni mtaalamu wa kupiga hilo zongo, na pia kisimo.
Mara nyingi uchawi unarithiwa, japo pia kuna uchawi wa kununua, lakini pia inategemea uchawi wa namna gani unauhitaji, kuna uchawi wa kuwanga, kujikinga, kuroga/kuagua watu, kufanya mazingaombwe, kujifurahisha, kudhuru watu n.k. Kwa vyovyote vile shart moja ni lazima kafara zihusike. Maeneo ambayo uchawi unaweza nunulika ni sehemu yoyote ile yenye vilinge vya uchawi.
Safi sana! Hebu nipe mbinu za kulipata hilo zongo!! nitawakomesha kazini mpaka walie pooo! hasa hili li Boss langu hili ntalikomesha hilo heee!!Ni hadi uwe mchawi, katika nguvu ambazo wanazo wachawi pia Zongo ni moja wapo, japokuwa watumiaji wake ni wachache.
Hasa hasa Mbwewe/kwadikwazu/Mkata..nendaaa mpkaaa Handeni, Muheza, jamani njia panda kuleeee! kuelekea Tanga Mama weee utayamba kifukuto!. Aisee Pwani Zongo ni kawaida sana
Aishee mgoshi, hii ina ukweiii?Tate Mkuu ni Msambaa pure kutoka kwa baba na mama. Baba yake anaitwa Makange Sheghomea, na mama yake anaitwa Nemghwa Shemshashu.
Na pia ndiye chifu pekee wa wasambaa aliye hai mpaka sasa.
Safi sana nami kuna mtu nataka nimrogeree mbaliJe nawezaje kuwa mchawi ? Una njia za kunisaidia niwe mchawi ?
Siku zote uchawi hauwaminiki uwepo wake au nguvu yake ispokuwa kwa wale waliodhurika nao.
Mwenye nao akikuangalia tu utaumwa tumbo hadi kufa, au akikiangalia chakula hata kipikweje hakiivi na kikiiva kinakuwa hakina ladha kabisa na watakaokila lazima matumbo yawaume sana halafu waharishe sana.
Zongo inaweza kupigwa kwa mtoto mchanga, mama mjamzito, n.k Zongo huwa ni Husda ya mchawi kwa kile unachokifanya au unacho jifagharisha nacho. Zongo inaweza kupigwa pia kwenye vyombo vya usafiri, kama umeshawahi kusikia gari hili limerogwa au kila wakati lina haribika na kutengenezwa, au kama umewahi kusikia boti hili linaharibika kila likipakia abiria au injini yake kufeli kila likipata mzigo wa kusafirisha.
Kujikomboa:
Dumu katika ibada, na pia Choma chumvi ya mawe nyumbani kwako na katika vyumba pia, huondoa sana nuksi katika nyumba, vyumba na sehemu ya bishara na katika vyombo vya usafiri.
Nimeona mengi mpaka sasa nimefanya vingi ila kuroga ndiyo bado sasa nahisi ni wakati wangu nifurahi pia .Safi sana nami kuna mtu nataka nimrogeree mbali
Z
Mi bado kabisa yaani mweupeeeeee kwenye uchawi ila nimeanza kuukubaliNimeona mengi mpaka sasa nimefanya vingi ila kuroga ndiyo bado sasa nahisi ni wakati wangu nifurahi pia .
Tuendelee kupambana ipo siku tutaujua vizuri na tuwe na uwezo wa kuutetea kama sayansi ya mtanzania .Mi bado kabisa yaani mweupeeeeee kwenye uchawi ila nimeanza kuukubali
Nalog off Z
Sawa Mgosi wa Ndima. Kuzachaaa.Lete hela nikupe mbinu ya namna ya kuwapiga watu zongo. Huku niliko Kijiji kizima wananiogopa! Kisa tu ni mtaalamu wa kupiga hilo zongo, na pia kisimo.