Zongo ni aina ya uchawi unaokaa machoni

Je mpiga zongo lazima awe mchawi?
Nauliza hivi sababu boss wetu alikua halipi wafanyakaza mishahara, hali hii ilikua inakwenda hadi miezi mitatu, sasa kuna pesa za mradi flani alilipwa akaona anunue gari na huku hakutulipa gari ya 100M sasa kwa kua ofisi na makazi yake ni pale pale ile gari ilivyoletwa tu fundi akaanza kuichek basi wengi wa wafanyakaz wakawa wanalalama yani kanunua gari badala ya kutulipa lile gari halikunyanyuka pale leo watatengeneza hapa.kesho tatizo lingin linazuka. Je kwa case hii mpiga zongo anajua kua anakupiga zongo wakati huo au vp
 
Hili jina si halisi. Halionyeshi uwepo wa koo hii unapotokea kijana. Piga picha Rita birth certificate yako itume pm acha majigambo.

Pambogo tumejaa Mbeya hadi mitaa na shule zipo kwa jina letu.

Mchawi mwenye nguvu zote anataka cheti cha RITA 🤣 🤣 mbona mitaani mnasemaga mmeroga watu wasio hata na hivyo vyeti kabisa?

Kuamini story za kishirikina inabidi uwe zwazwa as well.
 
Kwa hiyo unantisha. We hushangai una jina ambao linaonyesha huna hata cheti cha fom Foo wakati unabishana na kiingereza au unataka niroge ukoo mzima
 
Kwa hiyo unantisha. We hushangai una jina ambao linaonyesha huna hata cheti cha fom Foo wakati unabishana na kiingereza au unataka niroge ukoo mzima

Waamini ushirikia huwa mna kasoro kubwa sana in your thought process. Mnapenda kutafuta excuses badala ya kuokoa nguvu na muda na kutenda jambo, kama waamini Mungu tu. Both are two sides of the same coin.

Kwa mawazo yako kila anayeongea kingereza kafika form4? Kingereza ni lugha tu kama Kiswahili, nenda Malawi hapo watu hawajui kusoma wala kuandika ila wanaongea perfect English. Mind you nimekwambia Pambogo tumejaa Mbeya. Vp kama sijasoma TZ? Vp kama nilimaliza f4 2008 mwaka ambao matokeo yalitolewa kwa namba badala ya majina? I'm disappointed in your thought process.
 
Mkuu, mtu anayerithishwa uchawi ni lazima awe anajitambua, au anaweza kupewa akiwa mtoto mdogo asiye na ufahamu wowote. Jambo jingine ni kitu gani kina motivate watu kuwa wachawi, je, ni kwamba mtu anazaliwa na roho mbaya ya kupenda kudhuru wengine? Pia, nimesikia wazazi wanaweza kuwatoa watoto wao waliowazaa kafara kwenye mambo yao ya uchawi, je, upendo wa mama mchawi kutekeleza matakwa ya uchawi ni mkubwa zaidi ya upendo kwa mtoto wake aliyemzaa hadi kumuua kwa kumtoa kafara?​
 
Ni hadi uwe mchawi, katika nguvu ambazo wanazo wachawi pia Zongo ni moja wapo, japokuwa watumiaji wake ni wachache.
Safi sana! Hebu nipe mbinu za kulipata hilo zongo!! nitawakomesha kazini mpaka walie pooo! hasa hili li Boss langu hili ntalikomesha hilo heee!!

Yaani noko sana hili li-Mama!....Nataka liharisheee mpaka likose nguvu za kunyanyuka!..... lkn lisife tuu!
 

Je mwigulu na Zungu wanaweza kupigika Zongo ????[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…