The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Mwezi uliopita Askofu Gwajima Siku ya Jumapili akiwa madhabahuni alidai kuwa Jumanne iliyokuwa inafuata angekuwa na Zoom Meeting na rafiki yake ambaye ni CEO wa Pfizer pamoja na mgunduzi wa technology ya mRNA vaccine ambaye pia ni rafiki yake. Pia alidai kuwa atawapa waumini wake link kupitia Instagram account yake.
Kama haukuwa uendelezo wa uongo wa Gwajima kama ule wa kutuletea tren, kujifufua na kufufuka wafu pamoja na kutupeleka wana Kawe Birmingham, Alabama.
Mwenye marejesho atusaidie.
Kama haukuwa uendelezo wa uongo wa Gwajima kama ule wa kutuletea tren, kujifufua na kufufuka wafu pamoja na kutupeleka wana Kawe Birmingham, Alabama.
Mwenye marejesho atusaidie.