The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mwezi uliopita Gwajima akiwa madhabahuni alidai kuwa Jumanne iliyo kwa inafuata angekuwa na Zoom Meeting na rafiki yakeambaye ni CEO W Pfizer pamoja na mgunduzi wa technology ya mRNA vaccine ambaye pia ni rafiki yake. Pia alidai kuwa atawapa waumini wake link kupitia Instagram account yake.
Kama haukuwa uendelezo wa uongo wa Gwajima kama ule wa kutuletea tren, kujifufua na kufufuka wafu pamoja na kutupeleka wana Kawe Birmingham, Alabama.... Mwenye marejesho atusaidie.
Hatari snJamaa alishawahi kutafuna mwana kondoo wake afu alivyobanwa akasema ule mkono Ni wa baunsa sio wake.Uongo Ni jadi yake.
Kwa kweli huwa nawaonea huruma wana Kondoo wake..... Kwa bahati mbaya Nina ndugu zangu kati ya hao Wana kondoo wake.Jamaa alishawahi kutafuna mwana kondoo wake afu alivyobanwa akasema ule mkono Ni wa baunsa sio wake.Uongo Ni jadi yake.
Kawaaminisha Waumini kuwa mahubiri yake ni Roho Mtakatifu ndiye anaongea.Jamaa muongooo! Anasema hatujafanya utafiti wa kutosha kuhusu hizo chanjo huku akizungumzia habari za kuwa mazonbi.
Kondoo wake wakisikia maneno kama “nano techology” wanaona wanazungumza na mtaaalmu! Hawajui wamekabidhi roho na akili zao kwa conspiracy theorist!
Kinachonishangaza ni kuwa sababu za Gwajiboy kupinga chanjo sio sawa na zile za wengine wengi huko duniani. Wapinga chanjo wanasimamia “hiari” kama sababu. Hapa tunasikia mpaka 666, sijui NIDA
Waliochanjwa so far hawazidi laki 3, hata haijafikia 1% ya watzGwajima anataka kufikiri watanzania wote tunaweza kuwa mazezeta kama waumini wake wanaomshangilia anapoongea maujinga yake.
Mbona link alitoa na ilianza saa sita za usiku kwa Africa mashariki ilikuwa na watu kama 30 hivi hapa tz walikuwa wanne ulikuwa wapi ndugu?Mwezi uliopita Gwajima Siku ya Jumapili akiwa madhabahuni alidai kuwa Jumanne iliyokuwa inafuata angekuwa na Zoom Meeting na rafiki yakeambaye ni CEO W Pfizer pamoja na mgunduzi wa technology ya mRNA vaccine ambaye pia ni rafiki yake. Pia alidai kuwa atawapa waumini wake link kupitia Instagram account yake.
Kama haukuwa uendelezo wa uongo wa Gwajima kama ule wa kutuletea tren, kujifufua na kufufuka wafu pamoja na kutupeleka wana Kawe Birmingham, Alabama.... Mwenye marejesho atusaidie.
kachanje wewe nduguJamaa muongooo! Anasema hatujafanya utafiti wa kutosha kuhusu hizo chanjo huku akizungumzia habari za kuwa mazonbi.