Simba Songwe Member Joined Sep 28, 2020 Posts 59 Reaction score 8 Sep 12, 2021 #21 Mbona hayaingiliani kabisa na issue yako ,mimi niliangalia meeting na nikaona Gwajima yuko sahihi kabisa
Mbona hayaingiliani kabisa na issue yako ,mimi niliangalia meeting na nikaona Gwajima yuko sahihi kabisa
The Khoisan JF-Expert Member Joined Jun 5, 2007 Posts 16,434 Reaction score 14,547 Sep 13, 2021 Thread starter #22 Lycaon pictus said: CEO wa pfizer hawezi kuongea na mtu kama Gwajima kimajadiliano, achilia kuwa rafiki yake. Click to expand... Yaani Rashid akiwa madhabahuni yake huwa anajiona ndiye anayejua kila kitu. Sidhani ukimuwekea picha za hao anazodai kuwa ni marafiki zake anaweza hata kuwatambua.
Lycaon pictus said: CEO wa pfizer hawezi kuongea na mtu kama Gwajima kimajadiliano, achilia kuwa rafiki yake. Click to expand... Yaani Rashid akiwa madhabahuni yake huwa anajiona ndiye anayejua kila kitu. Sidhani ukimuwekea picha za hao anazodai kuwa ni marafiki zake anaweza hata kuwatambua.
The Khoisan JF-Expert Member Joined Jun 5, 2007 Posts 16,434 Reaction score 14,547 Sep 13, 2021 Thread starter #23 Simba Songwe said: Mbona hayaingiliani kabisa na issue yako ,mimi niliangalia meeting na nikaona Gwajima yuko sahihi kabisa Click to expand... Hiyo Zoom Meeting ikifanyika lini? Kama ilifanyika, tupe marejesho ya kile hawa marafiki walikizungumza.
Simba Songwe said: Mbona hayaingiliani kabisa na issue yako ,mimi niliangalia meeting na nikaona Gwajima yuko sahihi kabisa Click to expand... Hiyo Zoom Meeting ikifanyika lini? Kama ilifanyika, tupe marejesho ya kile hawa marafiki walikizungumza.
N NewOrder JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,120 Reaction score 2,833 Sep 15, 2021 #24 HaMachiach said: kachanje wewe ndugu Click to expand... Nimekwishachanja! Lakini wakati mimi niko hai bado, mama yangu aliyeaminishwa tunayozungumzia alinitoka! Hutoweza kuelewa mpaka jambo hili likukute!
HaMachiach said: kachanje wewe ndugu Click to expand... Nimekwishachanja! Lakini wakati mimi niko hai bado, mama yangu aliyeaminishwa tunayozungumzia alinitoka! Hutoweza kuelewa mpaka jambo hili likukute!