ZOOM ya tangaza nafasi ya kazi

ZOOM ya tangaza nafasi ya kazi

ina maana watu wa tandahimba hawana access ya info...ubaguzi haujengi mkuu.

Una uhakika gani kama nilikuwa ninamaanisha kuwa hawana acccess ya info au ni watu wastaarabu na mambo kama hayo hayapo kwenye jamii yao??
 
Jana nimesikia kuna digrii ya sociology engineering. Nikachoka!
Labda kuna digrii ya uhudumu pia.
mim naona mpangilio c mzur maana kuna post ya muhudum wa ndan apo apo wanataka degree na diploma cjaelewa kwa kwel kama had muhudum nae asomee
 
mwisho wa dunia umefika wapendwa hili swala cio dogo kama tunavyolichukulia mpaka qualification zinahitaj ma lesbo cio kitu kidogo!!!!!! mh jaman wenye qualification mka applie kama mpo
 
Anahitajika ASSISTANT RESEACHER mwenye sifa zifuatazo :
1. Awe wa jinsia ya KIKE mwenye umri wa miaka 20 hadi 45.
2. Elimu Ya Kidato Cha Sita na kuendelea.
3. Uwezo wa kuwasiliana kwa ufasaha kwa lugha za kiswahili na kiingereza.
4. Awe amewahi kuwa katika mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja na kupatwa na madhara AU
5. Awe mwanamke ambaye yupo ndani ya mahusiano ya jinsia moja, yupo addicted na mahusiano ya jinsia moja na anatamani sana kuondokana na tabia hiyo ila anashindwa.
5. Awe tayari kusafiri sehemu yoyote Tanzania.


MAJUKUMU :

Kumsaidia Mtafiti kupata data za kufanya na kukamilisha utafiti wake.


MUDA WA KAZI :

Kazi hii itafanyika kwa muda wa miezi sita katika miji mbalimbali nchini Tanzania.

Tuma maombi yako ya kazi kwenda kwa Research Officer, Consolatha Consulatants Limited, kwenda : cocotanzania@gmail.com.

Maombi yako yaambatane na C.V yako.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 16 OKTOBA 2012.



Application Instructions:
Maombi yatumwe kwa njia ya barua pepe[/QUOd
mbona mimi nipo huko kwa mahusiano na sijisikii kutoka na sijapata madhara yoyote??ina maana kazi nimeikosa au??
 
Back
Top Bottom