ZOOM ya tangaza nafasi ya kazi

ina maana watu wa tandahimba hawana access ya info...ubaguzi haujengi mkuu.

Una uhakika gani kama nilikuwa ninamaanisha kuwa hawana acccess ya info au ni watu wastaarabu na mambo kama hayo hayapo kwenye jamii yao??
 
Jana nimesikia kuna digrii ya sociology engineering. Nikachoka!
Labda kuna digrii ya uhudumu pia.
mim naona mpangilio c mzur maana kuna post ya muhudum wa ndan apo apo wanataka degree na diploma cjaelewa kwa kwel kama had muhudum nae asomee
 
mwisho wa dunia umefika wapendwa hili swala cio dogo kama tunavyolichukulia mpaka qualification zinahitaj ma lesbo cio kitu kidogo!!!!!! mh jaman wenye qualification mka applie kama mpo
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…