Zoran kutimkia Al Ittihad baada ya kuomba kuondoka Simba SC

Kwenye shida na raha, kufa na kuzikana

Niokoooooo!
 

Attachments

  • Zolane.jpg
    40 KB · Views: 2
NB: translated from swahili to avoid utopolo harsh words and insults mostly welcome to share your opinion in British language only I hope every simba fan is awere of the thread expect them.

Is it proper English?
Naona utopolo mnahangaika ngoja niongee tu kiswahili
 
Mostly welcome [emoji23][emoji23] English ya wapi hii
Nimewapoteza maboya watu mlioshindwa kuelewaa idadi ya substitution na mnaenda airport kupokea team ngeni inaonyesha hamna kazi za kufanya na kichwani ung'eng'e haupandi vile vile
 
Nimewapoteza maboya watu mlioshindwa kuelewaa idadi ya substitution na mnaenda airport kupokea team ngeni inaonyesha hamna kazi za kufanya na kichwani ung'eng'e haupandi vile vile
Kwa akili yako English ndio kipimo cha akili? Basi UK hakuna wajinga
 
Hapa sasa ndio nimeelewa, kumbe kocha ndio ametukimbia, nikadhani tulimfukuza nikawa najiuliza kosa lake nini sipati jibu.
 

Will be paid $30,000 per year?

TShs 69,000,000/- per year which means Tsh 5,800,000 per Month! I dont believe this
 
Mshahara wa $ 30,000/- per year? Seriously? Yaani Sinba walikuwa wanamlipa mshahara kidogo cha chini ya $3,000/- kwa mwezi?[emoji16]

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…