Mie tena...hata iwe pilipili manga, pili pili mchuzi au pili pili washa ubuyu nautaka mdogo wangu lol...na Chocs nae ataka.
ubuyu ni kuwa huyu shemeji yenu nyendo zake zimenichosha anapotea miaka akirudi hana maelezo yakueleweka aendapo sipajui
anataka kwenda nae kwenye bagparty na bachelors party...haaaa hivi Arushaone si ndo unafunga ndoa na Lady doctor jmosi hii
huyu marejesho wa nini tena?
kwali daktari kaliwa kekundu.
Ndogo wangu tulia mwaya...asikupe presha mtoto watu....
anataka kwenda nae kwenye bagparty na bachelors party...
Hapo kuna mwowaji kweli?
ubuyu ni kuwa huyu shemeji yenu nyendo zake zimenichosha anapotea miaka akirudi hana maelezo yakueleweka aendapo sipajui
Bi harusi ujue nina noma na wewe aliyesema uanze kuhesabu watalaka wangu ndo kakuponza.
Hivyo ni viashiria vya wivu.
ngoja nione mwelekeo wa hili sakata
nani kapata nani kakosa nani katoswa.
ndoa uvumilivu
Bembeleza Mkuu!
ubuyu ni kuwa huyu shemeji yenu nyendo zake zimenichosha anapotea miaka akirudi hana maelezo yakueleweka aendapo sipajui
Nilishawahi kuweka wazi atakae mchukua Arabela kwa kumlaghai hataishi ila kama ataamua mwenyewe Arabela kujipeleka kwa mtu sitakuwa na Tatizo kamwe..........nilikuwa mtwara ...nimerudi nina Roho mbaya kama sumu