ZubedasyoSalaaam zangu kwa Filipo......

Mie tena...hata iwe pilipili manga, pili pili mchuzi au pili pili washa ubuyu nautaka mdogo wangu lol...na Chocs nae ataka.

Mie pia nautaka hapa nishaandaa mate ya kumung'unyia
 
Last edited by a moderator:
ubuyu ni kuwa huyu shemeji yenu nyendo zake zimenichosha anapotea miaka akirudi hana maelezo yakueleweka aendapo sipajui

Arabela, huu ubuyu tuliokuwa tukiusubiri kwa hamu mbona hauna hata sukari sasa?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…