zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Kiongozi ! Ni kweli utakuwa umewahi?
Mbona mie nnaona ni kama waulizia daku asubuhi !
Nway si nia yangu nikutamatishie mikakati yako, laa-hasha !
Go ahead .
Wewe nawe.
Kuna vitu hajarudisha...huyu
Vina thamani ya shilling ngapi nikupe, acha kupiga kelele asubuhi asubuhi
Vina thamani ya shilling ngapi nikupe, acha kupiga kelele asubuhi asubuhi
Vitu au kitu chake
Kuwa nasubira
Nianze na salamu kwa wale wapenda salamu na AMANI....
Ila NIWAtakie shari kwa wale wote wasiopenda amani katika kijiji chetu.Nirudi kwenye KALIPIO LANGU LA WAZI KWA BABA V Kwa utaratibu wake wa kuvunja ndoa za watu kwa visingizio visivyokuwa na msingi.
NACHUKUA FURSA HII kUKUONYA BABA V mwenyekiti ULIYE JIPACHIKA MWENYEWE KUWA NDOA YA Arabela na Nitonye haitafanyika mpaka ipate baraka kutoka kwangu,sasa mimi naweka mikakati yangu ya wazi kuwa kama itafanyika basi hatapona hata nzi watakao hudhuria harusi hiyo ambayo itageuka kuwa nchi ya siria.
......NATOA KALIPIO KALI NA KUKATAZA SHUGHULI ZOTE ZISIMAME ZA MAANDALIZI HARAMU YA HARUSI Arabela na Nitonye mpaka ntakapo pata taarifa za hatma ya wanangu .............
Staki kuamini katika hili , mie subira inanihusu Mkuu!
I'm not the victim one concernin this matter !
Subira inakuhusu wewe !
watoto wapo salama. Wapo na baba yao mpya. Bado wanahitaji malezi ya mama...
Andika barua ya wazi,na mtafte pakuishi,ila c hapo kwenye nyumba yangu,najua huyo bwana mdogo hana kitu.