Kwa hili Shem Arabela sikuungi mkono aslani !
Always watoto ni wa Baba !
Mpe wanae , au unasubiri ukapokonyewe Ustawi ?
tumeshahama na watoto wangu... Siwezi kukupa mpaka mwisho wangu. Barua sina muda wa kuandika
tumeshahama na watoto wangu... Siwezi kukupa mpaka mwisho wangu. Barua sina muda wa kuandika
shem watoto wadogo. Then anatuambia tuhame sawa lakin angeacha tuondoke wenyewe kwanza watoto hawamtaki kwa vitisho alivyokuwa akitupa.. Sina uhakika huyo mtu wake kama atawapenda
Kwa hili Shem Arabela sikuungi mkono aslani !
Always watoto ni wa Baba !
Mpe wanae , au unasubiri ukapokonyewe Ustawi ?
ni nani anachafua hali ya hewa asubuhi asubuhi jamani
Mkuu huyu mwanamke ananichokoza,nlikuwa mtwara kwenye opertn maalumu kurudi kakimbia nyumba,nikaambiwa kapata kijana ambae ana mihela ya milathi,akatangaza kunimwaga,sikumjb chochote,mi nalea wanangu,leo anataka kuweka mwanaume ndan ya my house walah haitotokea...wanangu na mama yao wataishi pale..mtoto mkubwa kanambia huyo jamaa anawafokea,chakula hawali mchana...mdogo wake analia lia sana.

baada ya wewe kutukimbia. Chakula wanakula na wanaishi vizuri tu
Unawezaa zaa mtoto wewe
mtoto nimemkuta mbichi halafu unasema ulizaa nae mtoto?
mmmmh kimenuka
Nianze na salamu kwa wale wapenda salamu na AMANI....
Ila NIWAtakie shari kwa wale wote wasiopenda amani katika kijiji chetu.Nirudi kwenye KALIPIO LANGU LA WAZI KWA BABA V Kwa utaratibu wake wa kuvunja ndoa za watu kwa visingizio visivyokuwa na msingi.
NACHUKUA FURSA HII kUKUONYA BABA V mwenyekiti ULIYE JIPACHIKA MWENYEWE KUWA NDOA YA Arabela na Nitonye haitafanyika mpaka ipate baraka kutoka kwangu,sasa mimi naweka mikakati yangu ya wazi kuwa kama itafanyika basi hatapona hata nzi watakao hudhuria harusi hiyo ambayo itageuka kuwa nchi ya siria.
......NATOA KALIPIO KALI NA KUKATAZA SHUGHULI ZOTE ZISIMAME ZA MAANDALIZI HARAMU YA HARUSI Arabela na Nitonye mpaka ntakapo pata taarifa za hatma ya wanangu .............

We dogo wan'chekesha (kwa hisani ya faiza foxy ) umeshindwa kum handle mkeo kakuacha hasira zako unahamishia kwangu. Mimi ndo niliyevunja ndoa yako na Arabela!?? ya kweli hayo!?? haha ha ha ha haaa (kwa hisani ya Le Mutuz), mkeo aliandika uzi hapa wa kuachana na wewe, na wewe ukakubali, wiki moja baadae ukaonekana na baiskeli yako aina ya phoenix mitaa ya Mbezi kavu ukimsarandia Mamndenyi, ukaleta na picha yake hapa... leo unalia eti nimevunja ndoa yako!? ndoa imeshafungwa, nitonye kachukua mtoto wa Tanga wing wewe umebaki ukiringia misuli hiyo.. Na ninavyowajua wahaya kwa kusimamia shoo..... soon utasahaulika kama ulishawahi kuwa na uhusiano na Arabela, nenda VETA kajifunze kulea mke otherwise hata Mamndenyi atakukimbia hata kabla hujatangaza ndoa.... yangu macho...
Tehe tehe teheeeee eti nenda VETA wanajf kwa maneno...!We dogo wan'chekesha (kwa hisani ya faiza foxy ) umeshindwa kum handle mkeo kakuacha hasira zako unahamishia kwangu. Mimi ndo niliyevunja ndoa yako na Arabela!?? ya kweli hayo!?? haha ha ha ha haaa (kwa hisani ya Le Mutuz), mkeo aliandika uzi hapa wa kuachana na wewe, na wewe ukakubali, wiki moja baadae ukaonekana na baiskeli yako aina ya phoenix mitaa ya Mbezi kavu ukimsarandia Mamndenyi, ukaleta na picha yake hapa... leo unalia eti nimevunja ndoa yako!? ndoa imeshafungwa, nitonye kachukua mtoto wa Tanga wing wewe umebaki ukiringia misuli hiyo.. Na ninavyowajua wahaya kwa kusimamia shoo..... soon utasahaulika kama ulishawahi kuwa na uhusiano na Arabela, nenda VETA kajifunze kulea mke otherwise hata Mamndenyi atakukimbia hata kabla hujatangaza ndoa.... yangu macho...