Zubioto Zeyona Zaraphael

bioto

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,261
Reaction score
2,097
Magaidi waliingia kanisani wakawakuta waumini 150 wakiwa katika ibada. Kiongozi wa magaidi akatangaza kuwa atawaua watu 100 kati ya 150. Akaongeza kuwa atawaua kulingana na mpangilio wa majina yao kialfabet kutoka A-Z.
Akaanza kumwuliza jina mchungaji Mkuu, mchungaji Mkuu akasesa anaitwa:
ZEJOSEPHAT ZEEMANUELI
Mchungaji msaidizi naye akasema anaitwa:
ZEGOER ZODEVID
Gaidi akaja kwa wazee wa kanisa. Mzee wa kwanza akasema anaitwa
ZEPHILEMON ZUDAUDI
Mzee wa pili akasema anaitwa
ZAABRAHAM ZUMIKAELI
Wa tatu akapiga kelele akasema hao wanadanganya mimi jina langu ni
ZEJOSE ZEVEREST.....
Na We ungekuwepo hapo kanisani ungesema unaitwa nani? Mimi ningejiita
ZUBIOTO ZEYONA ZARAPHAEL
 
unataja herufi ya mwisho z kisha anaanza katika descending order. kama ilivyo kawaida ya gwaride. nyuna geuka; aliyekuwa mwisho anakuwa wa kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…