TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

Na sisi tuliojiajiri nani atatukatia bima ya maisha???
 
Ayo ayo ayo. Nakuona nakuona nakuona. Kwanini 2021 mpiga picha wako ajari na 2024 mpiga picha wako ajari? Why why why??????🥸🥸🥸
 
Nafikiri siyo issue ya kulazimisha waajili kukukatia bima,nadhani sisi sote tuwe na tahadhari binafsi kwamba kifo huwa hakipigi hodi.Yaani hata wewe unaweza kuenda mjini asubuhi badala ya jioni kurudi nyumbani , taarifa zako ndiyo zinarudi nyumbani na mwili wako unapelekwa motuary. Je watagemezi wako wataishije kwa kipindi kile cha kwanza kwanza kabla hawajazoea kuishi bila msaada wako. Je wana pa kuanzia?
 
Life insurance ni moja kati ya reasons za juu kabisa za mauaji huko majuu....
Ikija bongo hii wanandoa watauana sana
Even watoto wavivu wataua sana wazazi wao
 
Usichokijua muanzisha mada kuna mfuko unaitwa wcf (workers compensation fund) huo ndio hutumika kufidia mfanyakazi au wategemezi wake pindi anapopata ajali akiwa katika majukumu yake ya kazi au hata kufariki.
Hivi hawa watu uwa wanafidia kweli? Au kazi ni kupokea tu pesa za mwajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…