Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Watanzania bwana, wanawalalamikia polisi, kwani nani aliyempeleka dereva hospitali? Kwanini asimpeleke na marehemu?
Kuna mtu anasema ati Zuchu alishafariki ndio sababu ilikuwa lazima waje polisi, nani alithibitisha yule mtu amefariki? Hata polisi hawathibitishi iweje raia useme huyu kafa?
Anyway, mtu anasema marehemu alikaa pale mpaka saa nne asubuhi, kujazana upepo tu.
Kweli polisi wetu wazembe ila hawawezi kuchelewa eneo la tukio hivyo. Hiyo haipo!
Kweli digrii ni makaratasi tu.