TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

Watanzania bwana, wanawalalamikia polisi, kwani nani aliyempeleka dereva hospitali? Kwanini asimpeleke na marehemu?
Kuna mtu anasema ati Zuchu alishafariki ndio sababu ilikuwa lazima waje polisi, nani alithibitisha yule mtu amefariki? Hata polisi hawathibitishi iweje raia useme huyu kafa?
Anyway, mtu anasema marehemu alikaa pale mpaka saa nne asubuhi, kujazana upepo tu.
Kweli polisi wetu wazembe ila hawawezi kuchelewa eneo la tukio hivyo. Hiyo haipo!

Kweli digrii ni makaratasi tu.
 
Imagine..... binafsi ikifika bongo labda iwe kwa lazima, but hiyari NEVER... can never let a person know that he/she will definitely benefit from death by X amount.. no way
Mbona ipo siku nyingi. Mimi nimekata Bima ya maisha beneficiary mtoto wangu msimamizi mdogo wangu na mama wa mtoto anajua.
 
Mbona ipo siku nyingi. Mimi nimekata Bima ya maisha beneficiary mtoto wangu msimamizi mdogo wangu na mama wa mtoto anajua.
Ukipata ufe insurance mke na watoto hawatakiwi kujua. Na utakaemwambia hatakiwi kujua kiasi. Wewe haujakata maana ukikata watakushauri nani wa kumwambia.
 
Ajali imetokea jana usiku mida ya saa 8 nadhani, boda boda wa mbezi wamefika eneo la tukio wanawapigia simu polisi kuwapa maelezo ya tukio ili wafike kwa wakati lakini ajabu jibu walilotoa askari linafikirisha sana..

Jibu walilotoa polisi walisema Gari yao haina MAFUTA ☹️,boda boda ilibidi waustili mwili vizuri ili hali ukiendelea kubakia eneo lile ukinyeshewa na mvua😢, mpaka ilipofika leo mida ya saa 4 asubuhi ndipo askari waliweza kufika eneo la tukio na kuutoa mwili wa marehemu kuupeleka hospitali.

TUKIO LA JANA NI UDHIHIRISHO TOSHA KUWA TUNA ASKARI WAPUMBAVU ZAIDI YA NENO LENYEWE WASIOKUWA NA WELEDI WOWOTE NA KAZI YAO 😒😠
 

Watanzania ni kama vile hawalipi kodi, huduma zote muhimu kuzipata ni kama unaomba, na wakati mwingine unalazimika hata kutoa pesa kinyume na sheria ili upatiwe huduma. Ni aibu!

Kuongoza hivi vinchi masikini inakuhitaji uwe na mkono wa chuma katika kutekeleza sheria.

Tazama jibu kama hilo la kipumbavu linatolewa na taasisi inayohusika na usalama wa raia, unaweza kuwategemea watu kama hao kulinda raia?
 
Boda boda in dsm is very risk.

Rip kijana.

Inapofika usiku huwa kuna magari yanapita kukusanya maiti ambazo zimetokana na vifo vya bodaboda.

Then mpaka inafika usiku saanane kwa boda boda wengi wa DSM wanakuwa wamelewa pombe tayari wapo tungi .


Kifo Kama hiki kinasikitisha Sana
Dah inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom