Zuchu achaguliwa tuzo ya Afrimma

Zuchu ndiyo nani?
Huyu hapa
anabebwa wapi wakati takwimu zipo wazi kuwa anafanya vizuri.
 
Attachments

  • b9892223a992cf3ed3616867b35a8b73.jpg
    115.7 KB · Views: 2
Huyu msanii Kuna stage ameziruka atakuja kuzipitia baadae na majuto kibao wanaomsimamia wanamtengenezea bomu mbeleni
Sawa shehe shalifu mtabili, mbona Rihana wa jz amefanikiwa ikiwa yeye pia ametengenezwa kama Zuchu tu.
 
Kila kitu ni kazi ya wasafi kawatolea wapi hao followers?
Mbona kabla ya wasafi hatukumskia kwengine ama alikuwa hajaanza muziki?

Acha kumfananisha na ruby
Mziki Ni zaidi ya kuimba tungekuwa tunatoa madaraja kutokana na kijaji wasanii Kama barnaba,Rama Dee,Ben pol wangekuwa top artists zaidi ya Diamond na Alikiba.
 
Mziki Ni zaidi ya kuimba tungekuwa tunatoa madaraja kutokana na kijaji wasanii Kama barnaba,Rama Dee,Ben pol wangekuwa top artists zaidi ya Diamond na Alikiba.
Kwa hapa tumeenda sawa hao wamekosa management
Lakini je unapinga kwamba zuchu ana kipaji kuliko ruby?
Management yenye ndo itapush mziki wako na kipaji chako kidogo
 
Kwa hapa tumeenda sawa hao wamekosa management
Lakini je unapinga kwamba zuchu ana kipaji kuliko ruby?
Management yenye ndo itapush mziki wako na kipaji chako kidogo
pancho boy Mbona hata harmonize ana talent ndogo mbona WCB walimpromote na akawa mkubwa? Huwezi ukasema msanii anajua Sana lakini tatizo lake Ni management kwani huyo msanii alitumwa kuwa na hiyo management? Au fulani anabebwa kwasababu ya management mziki Ni promo na bila promo ukui na ndio Hali halisi ilivyo huyo Ruby ukimweka na Zuchu mashabiki wengi wataenda kwa zuchu as the same ukimweka pia na nandy fans wataenda kwa nandy je jiulize Kwanini ana power ya convince mashabiki japo ana kipaji kikubwa?
 
Umeanza pumba hivi show zake ruby unaziangaliag kweli?
 
Zuchu yupo pale alipo sababu ya WCB tu... Kama angepita walipopita kina rubby bado safari yake ingekuwa ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…