Sio lazima wote tumpende bro, kama wewe hujauona wimbo wake mkali basi sawa ila nyimbo zake zimekuwa streamed mara millioni 4 boomplay akiwaacha mbali wasanii wengi wakongwe kama Alikiba, mimi mara,mario,n.k
View attachment 1567468
Na apple music wanamjua
View attachment 1567471
Hawa afrimma wamekosea wapi??? mlitaka wamuweka nani???
View attachment 1567473View attachment 1567474
Sio lazima wote tumpende ila umati ndio utakao amua na umati wenyewe ndio huo kwenye social media.
Kutoka boomplay, YouTube,apple music na platforms nyingine inaonesha kwamba yeye ni miongoni mwa wasanii wanaotazamwa sana Afrika mashariki.