Zuchu ajitoa kwenye mtandao wa Instagram

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Habari za hivi punde ni kwamba mwanamuziki namba moja wa kike East Africa, Zuchu aka Zuu amejitoa Instagram.

Amefanya hivyo kwa ajili ya kufanya ibada mwezi huu wa Ramadhan ambao Zuchu ni binti wa kiislam anaependa sana kufanya ibada na ndio aliombadilisha Diamond kuwa mtu wa kufanya ibada sana.

Sisi watanzania tunamtakia mfungo mwema wa Ramadhan aendelee kuepuka vishawishi haswa vya wanaotafuta kiki ndani ya mwezi huu ili waongelewe na kukwaza wengine.
 
Kufunga ni toba, sasa inakuwaje unatubu ukijua utarudia matendo yaleyalee
 
Huu mfungo ni msimu wa sanaa za watu kufamfanyia unafki Mungu wao, watajikaza na kujibana wasiweze kufanya dhambi ndani ya hiki kipindi.

Yani hawafanyi maovu sio kwa malengo ya kuacha kabisa dhambi bali ni kwa kipindi kifupi tu kisha baada ya hapo wanaamini wako free kuendelea na ufuska.

Watu wanautumia mwezi mtukufu kama temporary ya wao kupumzika kufanya maovu yao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…