Zuchu ajitoa kwenye mtandao wa Instagram

Zuchu ajitoa kwenye mtandao wa Instagram

Huu mfungo ni msimu wa sanaa za watu kufamfanyia unafki Mungu wao, watajikaza na kujibana wasiweze kufanya dhambi ndani ya hiki kipindi.

Yani hawafanyi maovu sio kwa malengo ya kuacha kabisa dhambi bali ni kwa kipindi kifupi tu kisha baada ya hapo wanaamini wako free kuendelea na ufuska.

Watu wanautumia mwezi mtukufu kama temporary ya wao kupumzika kufanya maovu yao tu.
Inasikitisha sana kwa kweli
 
View attachment 2933690
Habari za hivi punde ni kwamba mwanamuziki namba moja wa kike East Africa, Zuchu aka Zuu amejitoa Instagram.

Amefanya hivyo kwa ajili ya kufanya ibada mwezi huu wa Ramadhan ambao Zuchu ni binti wa kiislam anaependa sana kufanya ibada na ndio aliombadilisha Diamond kuwa mtu wa kufanya ibada sana.

Sisi watanzania tunamtakia mfungo mwema wa Ramadhan aendelee kuepuka vishawishi haswa vya wanaotafuta kiki ndani ya mwezi huu ili waongelewe na kukwaza wengine.
Na samvu aache kutoa sasa.
 
Kufunga ni kila mwaka na wanarudia matendo Yao maovu kila mwaka.
Sawa lakini haya ya hivi ya kupania na kupangilia ndiyo maana kuna ukanda fulani kitoweo kimedoda kwasasa kwanini wasijutie badala ya kukivutia kasi baada ya siku kadhaa zijazo?
 
Mwezi ukiisha wanaendelea kuonesha nyuchi majukwaani?

Watu wa dini ni wanafiki sana.
 
Back
Top Bottom