Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

Hivi kumbe kuna watu wanaelewa anachokiimba zuchu!!???

Aisee mi sijawahi kumuelewa,laiti kama asingekuwa WCB,yaani angeanza muziki kama underground aaah angesota sana
Ila ndo mambo ya konektiviti konekshionale
 
Habarini Wana jamvi..?
natumai my wazima wa afya.

nimejaribu kufuatilia kwa makini sumu ambayo ana mezeshwa nandy, kwa official new queen wetu wa bongo flavor one and only Zuchu.

nimegundua kuwa anamuwza snaa Zuchu kuliko hata billnass na kwa maana hii Basi amejiingiza mkenge mwenyewe na anaenda kufuria soon mara harmonize Mara alikiba anaomba collabo tu na Wala hazina maajabu.

na kibaya zaidi nandy sio full package Kama zuchu ambaye anaweza kuandika mwenyewe nyimbo zake.

Yaani kwa huu wimbo au utopolo wa kiwango Cha lami/PhD/HD na Sgr[emoji23][emoji23][emoji23] Sina lakusema.

N. B:
NUMBER ONE Rayvanny and ft zuchu ni Kali sana kuliko NIBAKISHIE ya nandy ft kibamia[emoji31][emoji31][emoji31]
Rayvan na zuchu ni nyimbo mbaya kama nyuma ya fridge
 
Hivi kumbe kuna watu wanaelewa anachokiimba zuchu!!???

Aisee mi sijawahi kumuelewa,laiti kama asingekuwa WCB,yaani angeanza muziki kama underground aaah angesota sana
Ila ndo mambo ya konektiviti konekshionale
umeonaeee... izi ndo zile ww unatarajia kufikia sehemu fulan kumbe mwenzako yeye ndo anaanzia mi naona zuchu
amn kitu maana awa wasanii wanaoanza day one YouTube tayari ipo kwenye trend n kutokana na kuwa na watu wakubwa ,

maana ata tifah kwenye mitandao ni maarufu kuliko nandy ila kiuhalisia tifah si katoto akana kitu bado ,so nandy anfight na kitu kinaonekna

zuchu yeye promo ya watu 10mill instagram tu tayari ni mzigo kwa nandy, ok tuaache post za platnumz insta , management yake ilimlipia matangazo yake
kuanzia fb mpaka YouTube kwenyew .

conclusion sikuiz it's like mziki ni kufikia watu wengi sio kua mzur huenda wengi hawamkubali zuchu sema n vile kila kona wanamsikia ila nandy ana nafasi yake... kutoa nyimbo kwa pupa ni lazima ndo maisha yake lazma apambaniie asije akaanguka...

sometimes appreciate juhudi za mwenzako
 
sawa pumbavu mkubwa
 
Habarini Wana jamvi..?
natumai my wazima wa afya.

nimejaribu kufuatilia kwa makini sumu ambayo ana mezeshwa nandy, kwa official new queen wetu wa bongo flavor one and only Zuchu.

nimegundua kuwa anamuwza snaa Zuchu kuliko hata billnass na kwa maana hii Basi amejiingiza mkenge mwenyewe na anaenda kufuria soon mara harmonize Mara alikiba anaomba collabo tu na Wala hazina maajabu.

na kibaya zaidi nandy sio full package Kama zuchu ambaye anaweza kuandika mwenyewe nyimbo zake.

Yaani kwa huu wimbo au utopolo wa kiwango Cha lami/PhD/HD na Sgr[emoji23][emoji23][emoji23] Sina lakusema.

N. B:
NUMBER ONE Rayvanny and ft zuchu ni Kali sana kuliko NIBAKISHIE ya nandy ft kibamia[emoji31][emoji31][emoji31]
Bruh nyimbo ya nandi ndo kali kuliko, sema kaharibu kumshirikisha kiba kwa sababu kiba nyota yake saiz ipo chini kidogo
 
umeonaeee... izi ndo zile ww unatarajia kufikia sehemu fulan kumbe mwenzako yeye ndo anaanzia mi naona zuchu
amn kitu maana awa wasanii wanaoanza day one YouTube tayari ipo kwenye trend n kutokana na kuwa na watu wakubwa ,

maana ata tifah kwenye mitandao ni maarufu kuliko nandy ila kiuhalisia tifah si katoto akana kitu bado ,so nandy anfight na kitu kinaonekna

zuchu yeye promo ya watu 10mill instagram tu tayari ni mzigo kwa nandy, ok tuaache post za platnumz insta , management yake ilimlipia matangazo yake
kuanzia fb mpaka YouTube kwenyew .

conclusion sikuiz it's like mziki ni kufikia watu wengi sio kua mzur huenda wengi hawamkubali zuchu sema n vile kila kona wanamsikia ila nandy ana nafasi yake... kutoa nyimbo kwa pupa ni lazima ndo maisha yake lazma apambaniie asije akaanguka...

sometimes appreciate juhudi za mwenzako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeongea pumba za kiwango Cha SGR/PHD na HD , ZUCHU ni QUEEN WETU
 
Bruh nyimbo ya nandi ndo kali kuliko, sema kaharibu kumshirikisha kiba kwa sababu kiba nyota yake saiz ipo chini kidogo
sijakuelewa Sasa Kama nyimbo ni Kali kwanini kaharibu, ujue hamna kitu maana mpaka atafute wa kumtungia.
 
Katika wanamuziki fake na wanaolazimisha muziki Jux na Bill Nas kwa kweli wanaongoza, kuimba hawajuwi wapo tu wanalazimisha.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeongea pumba za kiwango Cha SGR/PHD na HD , ZUCHU ni QUEEN WETU
iv kijana unapata wapi nguvu ya kuongea vituko vya namna hii et zuchu ni queen wetu 😂😂😂😂😂😅 em ni log out kbsa maana hizi ni kauli nlitegemea ntazionaga tu Facebook 😭😭😭😭😂😂😂😂
 
Duh basi sawa shostito wetu ..piga kelele kwa zuchu aaaaakeeee
 
iv kijana unapata wapi nguvu ya kuongea vituko vya namna hii et zuchu ni queen wetu 😂😂😂😂😂😅 em ni log out kbsa maana hizi ni kauli nlitegemea ntazionaga tu Facebook 😭😭😭😭😂😂😂😂
Ndio wanaume wa dar hao..mwanaume anaweza hata kudondosha chozi kisa zuchu na Mara nyingi utawakuta saluni za kike au hata za kiume wanavyobishana kati ya zuchu na nandy
 
Back
Top Bottom