Zuchu akitoa wimbo na Nandy anatoa...? Basi ameingia mkenge

Binafsi mi sioni na wala sijawah elewa uimbaji wa nandy, nikiri Tu waz Nandy yupo overrated kulingana na utunzi wake wa mashairi wa kubahatisha Sana nyimbo zake ambazo angalau angalau kumbe huwa anaenda kupora THT

...kuhusu promo wote wapo balanced , istoshe media zote kubwa zipo upande wa Nandy mpaka Konde gang, lakn bado yupo under high pressure against well organized Zuchu,....Nachokiona Zuchu yupo kijanja zaidi , ngeli safi , amechangamka na mashairi yapo , wimbo na Rayvanny huo ndo wimbo mkali kat ya nyimbo zilizotoka this wiki , na hiyo ndo style ya nyimbo wabongo wanapenda tusidanganyane ndo mana unaelekea view 1milion Kwa sku tatu na ni audio tuu...

WCB huwa wanawapush wasanii wao kbao ila kipaji ni kipaji tuu somtyme promo inaweza isikusaidie ...haya kuna Lava lava , qeen darling, na huyo kaka yake Diamond si ni wasanii na wao mbna hawajapaa kama Zuchu na promo ni Ile Ile .....

Na huu wimbo alioshirikishwa na Rayvanny utampaisha Sana tena Zuchu maana kaua mle , Ruge mwenyewe alitamani Nandy atoe ngoma na Rayvanny bas Tu kigingi ni WCB ....

Watanzania ukitaka wa kusome toa ngoma za hsia , madenso madenso Tu na kukaa kaa uchi mwisho wa sku wanakuacha kwenye mataa unakuwa kama vannesa mdee
 
ata sijaelewa kitu mara 1M views mara audio mara rayvan na nandy mar ruge, mara kukaa uchi, mara vanessa mdee, wai
inshot ni kutoa maoni/mawazo yako ila umehusisha vitu vingi ata havikua na ulazima...
 
Chukua Tu kimoja kinachokuhusu, vingine vinawahusu wengne .
..
 
Ati juma lokole bwabwaaa kwa iyo nandy asitowi sio ?? [emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
iv kijana unapata wapi nguvu ya kuongea vituko vya namna hii et zuchu ni queen wetu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] em ni log out kbsa maana hizi ni kauli nlitegemea ntazionaga tu Facebook [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
huo ndo ukweli
 
Binafsi mi sioni na wala sijawah elewa uimbaji wa nandy, nikiri Tu waz Nandy yupo overrated kulingana na utunzi wake wa mashairi wa kubahatisha Sana nyimbo zake ambazo angalau angalau kumbe huwa anaenda kupora THT

...kuhusu promo wote wapo balanced , istoshe media zote kubwa zipo upande wa Nandy mpaka Konde gang, lakn bado yupo under high pressure against well organized Zuchu,....Nachokiona Zuchu yupo kijanja zaidi , ngeli safi , amechangamka na mashairi yapo , wimbo na Rayvanny huo ndo wimbo mkali kat ya nyimbo zilizotoka this wiki , na hiyo ndo style ya nyimbo wabongo wanapenda tusidanganyane ndo mana unaelekea view 1milion Kwa sku tatu na ni audio tuu...

WCB huwa wanawapush wasanii wao kbao ila kipaji ni kipaji tuu somtyme promo inaweza isikusaidie ...haya kuna Lava lava , qeen darling, na huyo kaka yake Diamond si ni wasanii na wao mbna hawajapaa kama Zuchu na promo ni Ile Ile .....

Na huu wimbo alioshirikishwa na Rayvanny utampaisha Sana tena Zuchu maana kaua mle , Ruge mwenyewe alitamani Nandy atoe ngoma na Rayvanny bas Tu kigingi ni WCB ....

Watanzania ukitaka wa kusome toa ngoma za hsia , madenso madenso Tu na kukaa kaa uchi mwisho wa sku wanakuacha kwenye mataa unakuwa kama vannesa mdee
fact zuchu mule kaua sana kuliko nandy kwenye song yake mpya
 
ata sijaelewa kitu mara 1M views mara audio mara rayvan na nandy mar ruge, mara kukaa uchi, mara vanessa mdee, wai
inshot ni kutoa maoni/mawazo yako ila umehusisha vitu vingi ata havikua na ulazima...
vinaulazima but wewe ni hater that's why haukuelewa
 
Back
Top Bottom