Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungetuliza kichwa na ukaweka ushabiki pembeni nadhani ungeandika uzi mzuri sanaaaaHabarini Wana jamvi..?
natumai my wazima wa afya.
nimejaribu kufuatilia kwa makini sumu ambayo ana mezeshwa nandy, kwa official new queen wetu wa bongo flavor one and only Zuchu.
nimegundua kuwa anamuwza snaa Zuchu kuliko hata billnass na kwa maana hii Basi amejiingiza mkenge mwenyewe na anaenda kufuria soon mara harmonize Mara alikiba anaomba collabo tu na Wala hazina maajabu.
na kibaya zaidi nandy sio full package Kama zuchu ambaye anaweza kuandika mwenyewe nyimbo zake.
Yaani kwa huu wimbo au utopolo wa kiwango Cha lami/PhD/HD na Sgr[emoji23][emoji23][emoji23] Sina lakusema.
N. B:
NUMBER ONE Rayvanny and ft zuchu ni Kali sana kuliko NIBAKISHIE ya nandy ft kibamia[emoji31][emoji31][emoji31]
kwani sio wasanii pumbavu
Sawa mamito shostitoSawa shosti !
Twende madale bas shosti pengine mopao atatuona na kutufanya vimada wake tupate buzi LA kudangaSawa mamito shostito