Zuchu ana asili ya unene au wembamba?

Zuchu ana asili ya unene au wembamba?

Hakuna mtu mwembmba ni life tu basi ndo linasababisha hvyo ukiangalia picha za kina shilole na wema sepetu kabla hajakatwa utumbo ni tofauti kabisa na walivyokuwa awali.
 
Huyu Ni mnene kiasili,
Mwangalie mama yake khadija
Mwangalie zuchu Kichwa na mashavu,
Haviendani kabisa na sehem nyngn za mwili
Mchepuko wako anasemaje kwa hilo? Vipi zile elfu tano tano anazichukua siku hizi au bado hachukui!😁😁😁👊
 
Kuzaa ndo komesha labda afanye sajari,, mfano mzuri rihana
 
Kuzaa ndo komesha labda afanye sajari,, mfano mzuri rihana
Rihanna kawa mzuri mno baada ya kuzaa
20220912_135246.jpg
 
Back
Top Bottom