Zuchu anaenda vunja record ya diamond- most viewed song bila kushirikisha

Zuchu anaenda vunja record ya diamond- most viewed song bila kushirikisha

Sadala ndiye artist pekee Tanzania anayetumia nguvu, akili na maarifa wholeheartedly kuhakikisha wasanii wake wanafika level za juu, mifano iko wazi na matokeo yako obvious.
Wasanii wa labels nyingine wapo wapo tu mpaka inasikitisha, wamiliki wengine wa labels sijui ni kuwabania kwa kuogopa kuzidiwa au ni kwamba wanawa'sign ili mradi tu waonekane wana wasanii.
Hawalioni hilo.
 
Kwa strategies za Rayvanny... naamini msanii wake wa kwanza atakuwa mkubwa kama Zuchu kwa muda mfupi.
 
Ndio kazi ya label, sio unawakusanya wasanii kibao, kumpromoti unashindwa mwisho kinakuwa kama kijiwe cha wahuni.

Kila siku wewe unataka kutoa nyimbo wasanii wako huwapi nafasi hata ya kuwapromotia kazi zao.
Nakumbuka vizuri hawa wakati diamond anampromoti Zuchu walisema Zuchu anaimba taarabu Hana kipaji chochote diamond anatumia nguvu zake bure sijui sasa hivi wamesahau?
 
Mond ana nyimbo binafsi mbili ambazo zipo juu ya sukari (48M+) wa Zuchu kwa views
~Sikomi views 51M+
~Jeje views 54M+

So huyu Zuchu apambane haswaaa! Huyu ndo anayeweza kumchallenge mond kwa sasa... Yupo kwenye peak kama aliyokuwepo harmonize mwaka wa mwisho kabla ya kuondoka wasafi ambayo ilimfanya avimbe na kwenda kujitegemea
 
Nakumbuka vizuri hawa wakati diamond anampromoti Zuchu walisema Zuchu anaimba taarabu Hana kipaji chochote diamond anatumia nguvu zake bure sijui sasa hivi wamesahau?
Alipambana nae sana. Alimtambulisha kipindi korona inaingia hakuna show alimpigania kwenye mitandao. Enzi za kujifukiza, vitunguu na malimau.
 
Mond ana nyimbo binafsi mbili ambazo zipo juu ya sukari (48M+) wa Zuchu kwa views
~Sikomi views 51M+
~Jeje views 54M+

So huyu Zuchu apambane haswaaa! Huyu ndo anayeweza kumchallenge mond kwa sasa... Yupo kwenye peak kama aliyokuwepo harmonize mwaka wa mwisho kabla ya kuondoka wasafi ambayo ilimfanya avimbe na kwenda kujitegemea
Ya zuchu itazipita hizo sabb inamiezi saba 7 tuuh
 
Msanii Zuchu ametoa wimbo wake wa sukari akiwa yeye peke yake na ndani ya miezi sita una views milioni 47.9, huku sikomi Diamond ina views mil 51 miaka mitatu, Sasa hizi ndio nyimbo zenye views wengi kwa wasanii bila assist/featuring, kwa hiyo Zuchu anaenda weka record ambayo sidhani Kama Kuna Mtanzania yeyote ataivunja yaani wimbo wenye views wengi kwa mtanzania akiwa peke yake bila pasi

Diamond na Nandy inabidi wamuheshimu Sana Zuchu amewazidi kwakweli
Na mkwanja mrefu unarudi kwa mondi...nyie endeleeni kushangilia zuchu kamzidi mondi. Mondi ashasemaga yeye babalao
 
Back
Top Bottom