Zuchu anaenda vunja record ya diamond- most viewed song bila kushirikisha

Hawalioni hilo.
 
Kwa strategies za Rayvanny... naamini msanii wake wa kwanza atakuwa mkubwa kama Zuchu kwa muda mfupi.
 
Ndio kazi ya label, sio unawakusanya wasanii kibao, kumpromoti unashindwa mwisho kinakuwa kama kijiwe cha wahuni.

Kila siku wewe unataka kutoa nyimbo wasanii wako huwapi nafasi hata ya kuwapromotia kazi zao.
Nakumbuka vizuri hawa wakati diamond anampromoti Zuchu walisema Zuchu anaimba taarabu Hana kipaji chochote diamond anatumia nguvu zake bure sijui sasa hivi wamesahau?
 
Mond ana nyimbo binafsi mbili ambazo zipo juu ya sukari (48M+) wa Zuchu kwa views
~Sikomi views 51M+
~Jeje views 54M+

So huyu Zuchu apambane haswaaa! Huyu ndo anayeweza kumchallenge mond kwa sasa... Yupo kwenye peak kama aliyokuwepo harmonize mwaka wa mwisho kabla ya kuondoka wasafi ambayo ilimfanya avimbe na kwenda kujitegemea
 
Nakumbuka vizuri hawa wakati diamond anampromoti Zuchu walisema Zuchu anaimba taarabu Hana kipaji chochote diamond anatumia nguvu zake bure sijui sasa hivi wamesahau?
Alipambana nae sana. Alimtambulisha kipindi korona inaingia hakuna show alimpigania kwenye mitandao. Enzi za kujifukiza, vitunguu na malimau.
 
Ya zuchu itazipita hizo sabb inamiezi saba 7 tuuh
 
Na mkwanja mrefu unarudi kwa mondi...nyie endeleeni kushangilia zuchu kamzidi mondi. Mondi ashasemaga yeye babalao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…