Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Zina Cummins engine kwani mkuu.Na Ile shack ni pendekezo la msouth Africa na engene ni mmarekani
Zina Cummins engine kwani mkuu.Na Ile shack ni pendekezo la msouth Africa na engene ni mmarekani
aseee ina mafuller kama ya international na inanyanyuka miliman n kama haina mzgo alafu full internal luxuryNa Ile shack ni pendekezo la msouth Africa na engene ni mmarekani
Duh hatari sana, eti password 🤣😁Nnazo IVECO mbili,moja imekufa engine niliagiza engine used UK aisee nimepigwa Engine imekuja hamna kitu imeoza.Moja ndio kidogo inajikongoja lakini Fundi akae standby
Iveco ni gari inayosumbua sana maana ni Full umeme.
IVECO inaweza kukufanya wewe mmiliki,fundi wako na dereva mkaanza kutafuta fundi,matajiri wengi kwa sasa hawatumii iveco,zimebaki kwa matajiri wachache sana kina Asas labda..Ssi wengine tunaoanza biashara tunawavua watu kwa million 20 hadi 30 unapata na trailer lako la mtumba unaingiza gari barabaran ukae roho juu,ukiibiwa Adblue sensor tu andaa 600,000 hapo bado turbo haijasumbua bila kusahau ukikwanguliwa tu side mirror bei yake 350,000 na ikifika kwenye service Oil filter,water separator na Diesel Filter andaa laki tatu kupata hii set...wakati kwa mchina vyote hivi havifiki laki na nusu
View attachment 3381957
Hii imetokea leo tu kwa IVECO yangu moja inayojikongoja ipo na mzigo wa watu kwenda Kenya huko
Splitter?.aseee ina mafuller kama ya international na inanyanyuka miliman n kama haina mzgo alafu full internal luxury
yaaa zile n special order ndoo maana zna booster unaweza hata nyanyua teriaz wachina weng bado wapo LEAF springsThe best of them all kwa macho madogo ni zile SITRAK za bakhresa I bet zile ni special order sioni mtu mwingine aliyenazo, I stand to be corrected.
View attachment 3381963
Licha ya comfortability, pia kwa sasa zuchu zinaongoza sana kwa kuua madereva, zinafeli sana breki zake.Matajiri wanadai wanapunguza cost, madereva wanalalamika hakuna comfortability View attachment 3381738
Hajabu sana, tunasifia wachina ila sie wenyewe walaaa, tumelala tu tukiogopa kutekwa na kundi la Steve Nyerere.mchina ni zile SHACMAN new model aseeee mchina anazidi kuwapumulia wazungu
Nashukuru kwa highlight mkuu.yaaa zile n special order ndoo maana zna booster unaweza hata nyanyua teriaz wachina weng bado wapo LEAF springs
italy waambie kuhusu lamborgini na maserattiMkuu hongera sana kuhusu iveco wataliano sijawahi kuona kama wamebobea sana kama wajerumani na waswidi huwa nahisi tu huko Italia kuna wazee peke yao.
Hahaha kwa kweli ila kwenye hizi nzito siwaamini kabisa.italy waambie kuhusu lamborgini na maseratti
Hizo ndio gari za uhakika.IVECO walikua watamu wana Trakker na Stralis dah kitambo sana. Aisee, sijaziona muda na mimi
Body China injini USA au unasifia bodi?mchina ni zile SHACMAN new model aseeee mchina anazidi kuwapumulia wazungu