Zuchu apata dili nono la ubalozi

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Msanii wa kizazi kipya Zuchu amekuwa akipata Mafanikio kwenye mziki tokea alivyotambulishwa kwenye industry ya Muziki na Jana amesaini kuwa balozi ya kampuni kubwa ya vipodozi ya nchini Tanzania Tridea cosmetics.

Baada ya hiyo deal msanii Zuchu ametoa shukrani kwa mashabiki "Nashukuru Sana mashabiki kwa kunisapoti na kuwa sehemu ya Mafanikio yangu lakini pia nashukuru pia Tridea cosmetics kwa kuniamini kutangaza bidhaa zenu,Nitajitoa kutangaza kea kiasi kikubwa"
 
So what?
 
Hiv!! Mnaijua hle nyimbo yake zuchu...
Inaitwaa Raha! Sio poa mazee...

Ni sex song!!!

Isikukute Kipindi cha Mgegedo!
 
sasa mimi ni mpinzani na msanii niliyekua namshabikia ananiombea ni tetereke, maumivu yatapona vipi labda kwa mfano??
Usipende Sana kuruhusu akili yako iwaze Sana siasa utashindwa kufanya mambo yako ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…