Zuchu apata dili nono la ubalozi

Zuchu apata dili nono la ubalozi

Nilikuwa simjui kabisaa hii nchi inawasanii wengi.

Thread yenyewe imenistua nilidhani Kala shavu la ubalozi ubelgiji!
 
Msanii wa kizazi kipya Zuchu amekuwa akipata Mafanikio kwenye mziki tokea alivyotambulishwa kwenye industry ya Muziki na Jana amesaini kuwa balozi ya kampuni kubwa ya vipodozi ya nchini Tanzania Tridea cosmetics.

Baada ya hiyo deal msanii Zuchu ametoa shukrani kwa mashabiki "Nashukuru Sana mashabiki kwa kunisapoti na kuwa sehemu ya Mafanikio yangu lakini pia nashukuru pia Tridea cosmetics kwa kuniamini kutangaza bidhaa zenu,Nitajitoa kutangaza kea kiasi kikubwa"
Ubalozi wa Emirates Airlines?
 
Mwanzake Dr. Silaha amepata ubalozi wa kuwakilisha nchi Sweden, yeye anapewa ubalozi wa maandazi. Sio haki kabisa.
 
Back
Top Bottom