Msanii wa Muziki wa Bongofleva 'Zuchu' Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuiombea Taifa la Tanzania kuwa nchi yenye amani, umoja na Upendo
Jambo ambalo wananchi wengi kwa upande wa Comment section wamechukulia kama dharau wengi wakidai kuwa wasanii wengi walikuwa wakiiunga mkono Serikali ambayo imesababisha Taifa kufikia hali iliyopo sasa