sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Tulia uone maajabu ya Zuchu alafu ndio mtaelewa watu walivyo serious na huu muzikiNatabiri hatoweka record mpya we mbwa π€£
Sasa wewe sinza pazuri kweli umeona huyu ni mwanamziki au msanii? Kuna tofauti kubwa kati ya hivi vitu. Kimziki watu siku hizi wanabebwa na usanii ila hata tuzo za BET hatutoi π§ Sasa huyu atavunja record kumshindanisha na nani?Tulia uone maajabu ya Zuchu alafu ndio mtaelewa watu walivyo serious na huu muziki
Samahani brother, kwani sinza pazuri ni ke? Mie nafikiri ni me, so ni mbwa dume.mbwa jike wewe
Bado masaa machache mkuu vuta subira uone moto wa Zuchu.Sasa wewe sinza pazuri kweli umeona huyu ni mwanamziki au msanii? Kuna tofauti kubwa kati ya hivi vitu. Kimziki watu siku hizi wanabebwa na usanii ila hata tuzo za BET hatutoi π§ Sasa huyu atavunja record kumshindanisha na nani?
Tuanzie hapa. .
Tulia dawa iingie vizuri mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani.Yaan shogaa angu unavojitahidi kumpamba huyo Zuhura utadhani ana cha maana, ko akikupa bundle basi wee unaweweseka mnooo.
Lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kinachowasumbua ni wivu na roho mbayaHahahaha, M bongo ni mtu pekee ambae hajui anataka nini.
Watu wanakuponda kwa kumtabilia mema msanii mzawa, ila hawahawa badae utawakuta wanasema wanaijeria wanabebana kimuziki ndomana wanafanikiwa.
Tutafikaje akati hatutaki hata kupongeza hatua ndogo ambazo wasanii wetu wamesogea? Kila kitu tunabeza.
Mwingine anasema hakuna mwanamziki hapo, mwingine anasema avunje record kwa mziki gani anaoimba, alafu hawahawa wanataka mziki wetu ufike mbali kama wanaijeria.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Zuhura huyu atupige kichwani sie? Nyie chawa wa WCB mmevurugwa vibaya khaaa.Tulia dawa iingie vizuri mnaenda kupigwa na kitu kizito kichwani
Zuchu anaenda kuwaunguza na fire fire fire π₯π₯π₯π₯π₯[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Zuhura huyu atupige kichwani sie? Nyie chawa wa WCB mmevurugwa vibaya khaaa.
Tangu WCB wakupige mtungo basi huku JF ni tabu tupuZuchu anaenda kuwaunguza na fire fire fire π₯π₯π₯π₯π₯
Mkuu naona unatueleza michezo anayofanyiwaga mamako na masela kitaa πtangu wcb wakupige mtungo basi huku JF ni tabu tupu