naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Tunajua maana katangaza kwamba na yeye atamzalia yupe kahaba me wa DarView attachment 2277532
Zuchu anaenda kuachia project mpya ya 4-4-2.
Kama kawaida queen huyu wa bongofleva na msanii namba moja wa kike Africa mashariki na kati anaenda kuandika rekodi mpya kama kawaida yake.
Huyu mtoto ni wamoto sana na anaubeba kwa mikono miwili muziki wetu wa Africa mashariki ndio maana sina shaka anaenda kuandika rekodi mpya mbali na rekodi mbalimbali alizoandika tayari.
Ikitokea asiandike rekodi yoyote mpya basi mniite mbwa mtanikuta sinza kwa remmy nimekaa.