Zuchu aweka rekodi mpya Afrika kwa wasanii wa kike wa muziki

Zuchu aweka rekodi mpya Afrika kwa wasanii wa kike wa muziki

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Leo record mpya imeandikwa na Zuchu katika bara la Africa.

Amekuwa msanii wa kwanza wa kike kufikisha views million 1 kwenye YouTube ndani ya masaa 22.

Hongera queen wa bongofleva.

Inst-image-2.jpg
 
Sema kwa wasanii wa kike mkuu, maana WAH ilifikisha hizo views ndani ya dakika chache tuu...
 
Labda msanii wa kike...mana boss wake anarecord kubwa zaidi ya hiyo.
 
Hongera sana japo sijawahi kuusikia huo wimbo zaidi ya promo za mitandaoni.
 
Hivi huu wimbo watu wanaupendea nini? Naona ni wimbo wa kiwango cha kawaida sana. Yaani mimi naupa 5/10. Au ndo nimeanza kuzeeka mapema hivi...!


Uzeeke mara ngapi babaake. Umeshaweka mambo sawasawa lakini? Usije kuwa mzigo kwa wanao.
 
Hivi huu wimbo watu wanaupendea nini? Naona ni wimbo wa kiwango cha kawaida sana. Yaani mimi naupa 5/10. Au ndo nimeanza kuzeeka mapema hivi...!
Kabisaa yaan wimbo mbovu sijawahi ona wallah, nashangaa promo zinavo tiririka, khaaaaaah
 
Hapo ndio tunapokosea, labda uliwalaza mchongoma kama wapo Big Brother. Lakini unadai na wewe wakulee, Mungu anakuona kaka. Hayo mambo ya kubebesha maisha yako kwa watu wengi sio wala nini
😀 😀 😀 😀
Nazingua tu mkuu, hata mimba ya kusingiziwa sijabahatika bado. Bado twala sukari kidogo.
 
Back
Top Bottom