Uzuri wa huu wimbo ni kuwa umeshiba mashairi, manzi hajababaisha hata kidog , unavutia kusikiliza na unavutia kuchezeka , na style tofaut tofaut zenye ladha with magnificent tone , wimbo wa namna hii lazima upendwe tuuu, tatizo wasanii wengi huwa hawana mashairi , wanaimbia jina na vitu hata havieleweki eleweki mashairi mepesi na hamna ubunifu Ila wanatembelea jina , lazima wasande tuu...
Huu wimbo Diamond hajatumia nguvu yyte hata kuupush , umetambaa wenyewe tuu , kizur chajiuza jaman , huyu binti huu wimbo kaimba na ni nadra Sana sa hv kupata nyimbo za namna hii.....
Nakumbukia Samboira by Ben Paul
Siachani nawe by Baracka the Prince
Niambie by Harmonize
Mwana by Ali kiba
Ukimwona by Diamond N.K
Nyimbo ambazo zilitambaa Tu Kwa sababu wasanii waliimba , na nyimbo zilishiba mashairi